Luke 2:30-32

30 aKwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,
31ulioweka tayari machoni pa watu wote,

32 bnuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa
na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”

Copyright information for SwhKC